Maonyesho ya Viwanda vya Tanzania

Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji kupitia Taasisi yake ya Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara (TanTrade) inawakaribisha Watanzania wote wanaomiliki viwanda vidogo, vya kati na vikubwa kushiriki Maonesho ya Viwanda vya Tanzania yatakayofanyika kuanzia tarehe 7 hadi 11 Desemba, 2016 katika Uwanja wa Maonesho wa Mwalimu J.K.Nyerere, Barabara ya Kilwa, Dar es Salaam.

Pata taarifa zaidi na jinsi ya kushiriki hapa

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *