KIKAO CHA TAASISI YA SEKTA BINAFSI TANZANIA (TPSF) NA WADAU WA SEKTA YA USAFIRISHAJI NA UCHUKUZI
Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) ambaye pia ni mwakilishi wa kongani (cluster) ya usafirishaji na uchukuzi Bi. Angelina Ngalula, jana tarehe 26-05-2022 aliongoza kikao cha wadau wa Sekta Binafsi wa sekta ya uchukuzi kujadiliana mwenendo wa maendeleo [...]
Continue Reading