Mualiko wa kushiriki kutoa maoni juu ya mapendekezo kuhusu marekebisho ya sheria ya haki miliki namba 7/1999
Ndugu Wadau wa Sekta Binafsi, Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) kwa kushirikiana na Chama cha Hakimiliki Tanzania (COSOTA) inakukaribisha kutoa maoni na mapendekezo kuhusu marekebisho ya sheria ya haki miliki namba 7/1999 Kama ilivyorekebishwa mara kwa mara. Kufuatia marekebisho [...]
Continue Reading