KONGAMANO LA BIASHARA NA UWEKEZAJI PAMOJA NA MKUTANO MKUU WA WANACHAMA.

TPSF inawajulisha wanachama wake, wadau, wafanyabiashara na wote waliojisajili kwamba Kongamano la Biashara na Uwekezaji pamoja na Mkutano Mkuu wa Wanachama ulioahirishwa kwa sababu zisizoweza kuzuilika, sasa utafanyika Siku ya Jumamosi tarehe 11 Disemba 2021 katika Ukumbi wa Maktaba Mpya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Mgeni Rasmi atakuwa Mh. Kassim Majaliwa Majaliwa, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
Kwa maelezo Zaidi wasiliana na sekretarieti kwa namba 0784 323 068, au 0784 487 074
 
Wote Mnakaribishwa