KONGAMANO LA BIASHARA NA UWEKEZAJI PAMOJA NA MKUTANO MKUU WA WANACHAMA.
TPSF inawajulisha wanachama wake, wadau, wafanyabiashara na wote waliojisajili kwamba Kongamano la Biashara na Uwekezaji pamoja na Mkutano Mkuu wa Wanachama ulioahirishwa kwa sababu zisizoweza kuzuilika, sasa utafanyika Siku ya Jumamosi tarehe 11 Disemba 2021 katika Ukumbi wa Maktaba Mpya [...]
Continue Reading